THE OFFICIAL JOHN SHABANI AND GOSPEL IN AFRICA BLOG

Welcome to the official blog of the the gospel singer, songwriter and teacher John Shabani. If you are one of the fans among the millions, feel free to get connected with John Shabani and stay updated on this blog.To learn more about John Shaban and his Ministry, please click the about button above.

30 May 2012

UNGANA NA KITUO CHA MAFUNZO YA UIMBAJI

 John akiwa na wanafunzi wake kabla ya kuanza zoezi la uimba coco Beach John Akiwa kazini Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

JOHN SHABANI AFANYIWA MAOMBI MAALUM

   Mwalimu wa nyimbo za injili Afrika Mashariki,  John Shabani, akiombewa na watumishi wa Mungu John Akiimba na kucheza namama yake wa kiroho, Dr. Getrude Rwakatare. Ilikua ni Jumapili ya uwepo wa Mungu. Baada ya kushusha sifa huku akiimba na kwaya yake The Joybringers, Watumishi waMunguWakiongozwa na Dk. Getrude Rwakatare, waliamua kumuombe John Shabani, Ili Mungu aendelee kukitunza kipawa cha utunzi na uimbaji, pamoja...

28 May 2012

KANISA LA CHOMWA MOTO HUKO ZANZIBAR

  Mmoja wa waandamani wa Kundi la Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislam (JUMIKI) Kisiwani Unguja,Zanzibar akionyeshan kitambaa kilicho na Damu mapema leo Asubuhi wakati wakiendelea na maandamano yao ambayo yamesababisha vurugu kubwa kisiwani humo,iliyopelekea kuchomwa moto kwa  Askari wa kutuliza ghasia wakifanya doria mitaa mbalimbali Zanzibar leo asubuhi    Hali ya amani katika visiwa vya Zanzibar hasa kwa...

MTANGAZAJI WA PRAISE POWER RADIO YA DAR ES SALAAM AFUNGA PINGU Z MAISHA

Erick Brighton ktk pozi na mkewe mara baada ya kutoka Church Hatimaye mtangazaji wa Praise Power Radio, bwana Erick Brighton afunga pingu za maisha. Mtangazaji huyo ambaye amekuwa akiongoza vipindi vya usiku na kugusa mioyo ya watu wengi, sasa ameagana na maisha ya upweke. Ndoa hiyo imefungwa katika kanisa la Tanzania Assemblies of God mikocheni B mlima wa moto kwa mchungaji Gertrude Rwakatare. Uongozi wa blog hii  unawapongeza maharusi...

25 May 2012

BREAKING NEEEEEEEWZ!!!!! TANZANIA WORSHIP EXPERIENCE KUANZA MCHAKATO WA KUMTAFUTA "MWABUDISHAJI HALISI" KATIKA HOTEL YA THE ATRIUMS SINZA AFRIKASANA Mchakato huu unaanza leo saa 3 asubuhi na mpaka sasa watu wamenza kuingia kwa kasi sana. Mchungaji Charles Mbogoma (kulia) akiwa kazini Stage kwaajili ya waimbaji Mtoto na mchungaji wa Mchungaji Mbogoma akilifunga banner Wahudumu wa The Atriums Hotel wakiwa katika maandalizi Kazi...

MHESHIMIWA DK FENELLA MUKANGARA KUWA MGENI RASMI KATIKA TAMASHA LA KUABUDU NA MAOMBI KWA TAIFA

 Dr. Fenella Mukangara Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo   Dk/Rev. Getrude Rwakatare Mh. Martha Mlata (MB) Tarehe 10.06.2012, ni siku ambayo kwaya mbalimbali na waimbaji binafsi kwa pamoja wataungana  katika kumsifu na kumwabudu Mungu, sambamba na kuliombea Taifa letu la Tanzania. Dk/Rev. Getrude Rwakatare ndiye atakayeongoza maombi hayo. Pia Maaskofu mbalimbali, wachungaji, vingozi mbalimbali wa serikali...

21 May 2012

JOHN SHABANI-KUFANYA TAMASHA LA KUABUDU, KULIOMBEA TAIFA LINALOITWA "SAA YA KUABUDU-WORSHIP HOUR" NA KUZINDUA BLOG YAKE

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE ...

17 May 2012

SIKU YA WAIMBAJI WA INJILI KUMWINUA MUNGU PAMOJA, KUABUDU PAMOJA NA KULIOMBEA TAIFA PAMOJA IMEWADIA. NI TAMASHA LITALOZIKUTANISHA KWAYA NA WAIMBAJI WA BINAFSI PAMOJA

Baada ya kufanya vizuri katika kuwaongoza waimbaji wa injili nchini kuimba wimbo maalum kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru, mwalimu wa John Shabani chini ya udhamini na usimamizi wa chama cha Muziki wa Injili Tanzania, ameandaa tamasha la kipekee lijulikanalo kama WORSHIP HOUR (SAA YA KUABUDU) ni saa maalum ya sifa na kumwabudu Mungu live itakayoongozwa na mass choir chini ya mwalimu John Shabani, aliyeongoza waimbaji wa injili...

16 May 2012

BAADA KUFANYA VIZURI MWAKA JANA KWENYE CAMPAS NIGHT SOS MISSION INTERNATIONAL WAANDA MKUTANO MKUBWA WA INJILI DAR

SOS Mission walikuwepo mwaka jana kwenye tamasha kubwa la aina ya la Campas Night lililokuwa na timu kubwa, wakiongozwa na kiongozi wao Past Johnnes mwaka huu wanakuja na mkutano mkubwa wa injili utakao fanyika hapa Dar kuanzia Tar 13-17 Jun mkutano huo umepewa jina la sherehe za ishara na miujiza. maanadalizi ya mkutano huo yanaendelea kwa kasi kwa kuandaa watenda kazi wengi. Timu ya maombi teyali wanaendelea na maombi katika kanisa la mito ya...

14 May 2012

HAPPY MNALE – MWANDISHI WA HABARI ALIYEDHAMIRIA KUINUA HUDUMA ZA WAIMBAJI WA INJILI KUPITA MAKALA MBALIMBALI

Kama kuna watu wanaostahili kupongezwa katika kuchangia kuinua huduma na vipaji vya wasanii wa Injili nchini, basi mwanadada Happy Mnale ni miongoni mwao. Pamoja na makala mbalimbali, pia amekuwa mstari wa mbele kutangaza huduma na kazi za waimbaji wa nyimbo, wanamuziki, maproducer, ma MC na kila aina ya makundi yanayojihusha na shughuli za Injili. Makala hizo za injili zinapatikana katika gazeti la TANZANIA DAIMA kila siku ya ijumaa. Waimbaji...

13 May 2012

WISHING TO ALL MY FRIENDS HAPPY MOTHERS DAY

...

11 May 2012

Kikundi Cha Al-Shabaab Tanzania chatishia Kulipua Kanisa La Efatha

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP