6 May 2012

MTANGAZAJI WA PRAISE POWER RADIO, ERICK BRIGHTON AMVALISHA PETE MPENZI WAKE NDANI YA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI B- DAR ES SALAAM




                  Mambo ya pete hayo

  Dr. Gatrude Rwakatare, akimimina maombi


Leo ni siku ambayo Erick Brighton hataisahau maishani mwake kwa kitendo cha ujasiri na kujidhihirisha kuwa sasa anaenda katika hatua nyingine ya kuwa na mke aliyedhibitishwa madhabahuni na mbele ya mchungaji wake Dr. Getrude Rwakatare.

Ilikuwa ni siku ya furaha, ndelemo na vifijo baada ya Erick kumvisha pete mchumba wake. Hii inaonyesha kuwa kila jambo lina wakati wake, kinachotakiwa ni kuwa na uvumilivu na kukaa katika maombi.

0 comments:

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP