9 May 2012

BI CLEMANT - RIPOTA WA BLOG YETU MAJUU

Dactari clemant, Amekuwa akitusaidia sana kupata habari mbalimbali za masuala yahusuyo muziki wa Injili huko majuu. Pamoja na mambo mengi anayoyafanya huko USA, lakini bado amekuwa bega kwa bega ili kuifanya blog hii kutembelewa na mamia ya watu ulimwenguni. Kila anapopata habari mpya moja kwa moja huwasiliana na uongozi wa blog hii.
Hakika anahitaji maombi yako. Ametushirikisha mahitaji mengi.Wewe ingia katika ulimwengu wa rohoni na ulisogeze jina lake kwenye kiti cha enzi.

HEART OF WORSHIP

HEART OF WORSHIP