CHAMA CHA
MUZIKI WA INILI TANZANIA (CHAMUITA) CHENYE USAJILI NAMBA BST 4598, KINAWATANGAZIA WAIMBAJI WOTE WA INJILI, WANAMUZIKI,
WATANGZAJI WA REDIO ZA INJILI, MAPRODUCER NA WAPENZI WA MUZIKI WA INJILI, WAJAZE
FOMU ZA KUJIUNGA NA CHAMA, NA KISHA WAPEWE KADI ZA UANACHAMA. ZINAHITAJIKA
PICHA ZA PASPORT SIZE MBILI.
KUTOKANA NA
MAELEKEZO KUTOKA SERIKALINI, UONGOZI WA TRA ULIKUTANA NA VIONGOZI NA WADAU MBALIMBALI WA MUZIKI WAKIWEPMO PIA
VIONGOZI WA CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI CHINI YA SHIRIKISHO LA
MUZIKI TANZANIA.
MASUALA
MBALIMBALI MUHIMU YALIJADILIWA. LA MUHIMU NI KWAMBA IFIKAPO MWEZI WA SABA,
MCHAKATO WA KUBORESHA SANAA NA WASANII NCHINI UTATAZAMWA KWA UMAKINI ZAIDI, NA
WATAKAOFAIDIKA NI WALE WALIOJIUNGA NA NA VYAMA HUSIKA VINAVYOUNDA MASHIRIKISHO
YANAYOTAMBULIKA NA SERIKALI. HIVYO BASI, NI WITO WETU KWA KILA MMOJA KUJIUNGA
NA CHAMA.
KUTOKANA NA
TATIZO LILILOJITOKEZALA KUFUNGIWA OFISI ZETU PALEW SILENT INN, UONGOZI UMEKAA
NA WALEZI WA CHAMA (M r. Alex Msama na Mheshimiwa
Martha Mlata, NA WALEZI WAMEAHIDI KULITAFUTIA UMBUMBUZI HARAKA IWEZEKANAVYO
SUALA LA OFISI. KWA SASA DARE ES SALAAM, FOMU ZINAPATIAKANA DUKA LINALOTAZAMANA
NA SHELI YA UBUNGO, KATIKA DUKA LIITWALO: MUNGU MSAADA WETU.
MCHAKATO WA
KUKIENEZA CHAMA NCHI NZIMA UNAENDELEA NA BAADAYE KUTAKUWA NA MKUTANO MKUU
LAKINI KWA
SASA, ILI KUPATA TAARIFA ZA CHAMA NA UPATIKANAJI WA FOMU, WASILIANA NA NAMBA
ZIFUATAZO
DAR ES
SALAAM: 0716 560094, 0754800887, 0754396367,
0784334630,
MOROGOGO:
0718807283 AU FIKA OFISI ZA TOP REDIO
TUTAENDELEA
KUKUPA NAMBA ZA MIKOA MINGINE HIVI KARIBUNI
PIA WAWEZA KUWASILIANA KWA BARUA PEPE:
MBARIKIWE NA BWANA
0 comments:
Post a Comment